YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 10 Novemba 2014

Umewahi kusikia mnyama anamfundisha binadamu? Hii imetokea, tazama video hapa.

logo_2_tyk_streg_ny
Ni kawaida kwa mnyama kufundishwa kufanya kitu fulani na binadamu akaelewa lakini sio kawaida mnyama kumfundisha kitu binadamu.
Moja kati ya video zilizopata watazamaji wengi kwenye mtandao wa Youtube ni ile inayomuonyesha mbwa akimfundisha mtoto namna ya kucheza.
Tazama video hii wakati mbwa akiendelea kutoa somo kwa dogo huyo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads