YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 29 Oktoba 2014

Kali Za Leo:Kuhusu lile bomu lililoonekana Kijitonyama Dar es salaam.


DSC_0820
Mashuhuda wanasema hii nyumba ndiko wamehamia wageni ambapo wakati wa zoezi la utoaji na uchomaji taka ndiyo bomu likakutwa jalalani.
October 28 2014 saa nane mchana kilionekana kifaa kwenye takataka ambapo iliaminika ni bomu hivyo Polisi wakapewa taarifa na kuwasili kwenye eneo la tukio saa kumi na moja jioni, wakakagua na kuomba ndoo mbili za mchanga wakalikagua kwa nusu saa alafu wengine wakabaki baada ya baadhi yao kuondoka.
Kwa mujibu wa maelezo ya mashuhuda, saa moja na dakika 45 usiku Wanajeshi walifika kwenye eneo hilo na kulikagua na kusema lile halikua bomu la kawaida, ni kombora ambalo lilitegwa miezi miwili iliyopita na lilikua tayari kulipuliwa ambapo kama lingelipuka lingeweza kuathiri eneo kubwa sababu ya nguvu yake kubwa.
DSC_0811
Eneo lilikokutwa bomu hili ni Kijitonyama Dar es salaam karibu na kanisa la KKKT ambapo wakati huu tunasubiria maelezo ya Polisi, tumeyakusanya hayo yote hapo juu ambayo yametolewa na mashuhuda.


DSC_0816 

Source: MillardAyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads