YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 4 Julai 2014

Daraja lililobomoka na kuua wawili Brazil, habari zaidi fungua hapa......


darajaDaraja limebomoka na kuua watu wawili huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa katika mji ambako mechi za nusu fainali zikitarajia kuchezwa nchini Brazil.
daraja2
Tukio hilo limetokea katika mji wa Belo Horizonte wakati magari yakipita chini ya daraja ambapo moja ya malori lililokuwa limebeba gari na ujenzi na gari moja lilinasa kwa mujibu wa maafisa.
daraja3
daraja4
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta FB
MAONI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads