YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 8 Aprili 2014

Wiz Kid!!!!???

Unaonaje jibu la Wizkid baada ya mtu kum-diss kwenye twitter?

wizkid
WizKid mkali kutoka Nigeria yupo kwenye umri ambao vijana wengi wenye umri kama wake wanatumia muda mwingi kwenye internet.Hicho kitu kinamfanya kusoma comment na reply nyingi za watu wanafuatilia post zake.
Baada ya mtu mmoja ambaye baadae alijitambulisha kama shabiki kum-diss kwa kumwambia kwamba kitu pekee alichofanya Wizkid mwaka huu hadi hivi sasa ni kupiga picha instagram tu.
Wiz baada ya kusoma alimjibu na kumwambia ndio na pia amtengeneza pesa nyingi zaidi yake. Hii sio mara ya kwanza kwa Wizkid kuwajibu watu hivi, aliwai kumjibu mtu mwingine kwa kuandika “Broke people always they think they have an option”
rrrrgfffffffffffffffffffffffffffffff
qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads