Huu ndio wimbo official wa kombe la dunia 2014 by Jennifer Lopez na Pitbull
Umebaki muda mfupi mashindano ya kombe la dunia yaanze huko Brazil na hivi sasa umetoka wimbo official kwa ajili ya mashindano hayo.
Wimbo huu ambao umeimbwa na Pitbul na J. Lo watau-perform siku ya sherehe za ufunguzi June 12 kwenye Arena de Sao Paul.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni