Hii hapa Video ya Msambinungwa ya Tunda Man.
Baada ya kuzinduliwa Club Billcanaz February 23 sasa millardayo.com inakupa nafasi ya kuiangalia video hii mpya toka kwa member wa Tip Top Connection Tunda man kuhusu Location zilizotumika kwenye video hii ni Tanzania na Mombasa nchini Kenya.
Bonyeza play kuitazama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni