Picha ya jinsi kivuko cha Dar – Bagamoyo kitakavyokua.
Ni miongoni mwa mipango ambayo itatekelezwa ili kupunguza foleni lakini pia kurahisisha usafiri pamoja na kupunguza idadi ya ajali za barabarani ambazo zimekua zikitokea kutokana na uzembe wa Wamiliki na Madereva wa mabasi ya abiria.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni