YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatano, 9 Oktoba 2013

P Diddy kasemaje kuhusu huu utajiri wake uliotajwa na forbes? maneno machache mazito


P Diddy kasemaje kuhusu huu utajiri wake uliotajwa na forbes? maneno machache mazito

diddy_house_breakin_6pwo1
Kama umekua karibu na ripoti za Wanahiphop matajiri duniani najua stori kuhusu P Diddy kuwa kwenye top 5 ya hao Wanahiphop utakua umeisikia… na hii rekodi ameiweka mara kadhaa kupitia jarida la Forbes ambalo huwa linahusika sana pia kutaja utajiri wa mastaa mbalimbali wa dunia na watu wengine maarufu.
Ripoti ya hivi karibuni iliyotolewa na Jarida la Forbes ilisema Diddy ambae ni baba wa watoto watano akiwa anatarajia kufikisha umri wa miaka 44 November 4 mwaka huu, anamiliki kiasi cha dola milioni 50 za Kimarekani ambazo zinasomeka bank.
Diddy
Baada ya hiyo ishu kuchukua headlines hatimae Diddy amejitokeza na kusema ‘nataka kuwaambia ukweli,  sina kiasi hicho cha pesa kwenye benki yoyote… hiyo sio pesa ambayo iko kwenye account yangu’
Kwenye sentensi ya pili, Diddy ambae amesema hajakaribia kufikiria kuoa… anakwambia ‘nataka niliweke hili swala wazi, sioni tatizo kusema kwamba sina kiasi hicho cha pesa kwenye account yangu… sijali hata kama ukweli huo utafanya nishushwe au kuondolewa kwenye hii list ya Wanahiphop tajiri duniani’
Diddy 2

Source:Millardayo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads