YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 1 Oktoba 2013

Msanii Malick Ahmed Maarufu Kama Mac Malik Simba Aka Mack 2 B Wa Wateule Amefariki Dunia.

Msanii Malick Ahmed Maarufu Kama Mac Malik Simba Aka Mack 2 B Wa Wateule Amefariki Dunia.



#BreakingNews #Fahamu Msanii Na Producer Wa Music Wa Bongo Fleva Na Reggae Mac Malick Simba Amefariki Dunia Dakika 30 Zilizo Pita. Kaka Wa Marehemu Msafiri Masharubu Ameniambnia Kuwa Alikuwa Akisumbuliwa Na Matatizo ya figo, Figo moja ilifeli na Kuvimba Kwa Miguu Sana, Msafiri ameniambia miguu ilijaa maji sana.Amefia Nyumbani Kwao Yombo. 

Mack Alikuwa Member wa Kundi la wateule na producer kwenye studio za Enrico Pale Sound Crafters. Pia a,eshawahi kufanya kazi na Baucha Kupitia Baucha Records.Tunazidi Kufuatilia Habari Zaidi

Update: Mazishi ya Malick yatafanyika kwao Yombo makangarawe Nyumbani Kwa Marehemu. Kama kuna mtu anataka kwenda kumsindikiza Ndugu Yetu aje eneo hilo.

Kufika: Unapanda gari la Tandika Alafu unapanda Lingine lakuja Yombo na Kushukia Kituo Cha Abiola alafu ulizia kwa kina Malick Simba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads