YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 30 Septemba 2013

PIGA KURA YAKO SASA KWA 'THE WOMAN OF THE YEAR' HAPA .....ASHINDE TUZO

PIGA KURA SASA KWA 'THE WOMAN OF THE YEAR'

ILI kutambua na kuthamini mchango wa wanawake katika maendeleo ya jamii yetu, Kampuni ya Global Publishers and General Enterprises Limited, inatoa tuzo kwa mwanamke ambaye katika maisha yake amefanya mambo mengi zaidi ambayo yameinufaisha jamii na kuboresha maisha ya watu. Chagua jina moja la mwanamke unayemwona anafaa kutwaa tuzo ya “The Woman Of The Year”. KUPIGA KURA, LIKE UKURASA WETU HAPA: GPL AU INGIA HAPA: PIGA KURA

Tags: AWARD, OF, THE, WOMAN, YEAR

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads