YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumapili, 15 Septemba 2013

Bondia Floyd Mayweather kulipwa zaidi ya Tsh bilioni 41 baada ya kushinda pambano lake la 45.



Usiku wa Jumamosi kwa majira ya Las Vegas kulifanyika pambano la masumbwi kati ya bondia maarufu Floyd Mayweather wa Marekani na Canelo wa Mexico. Floyd nimkubwa kiumri kwa miaka 13 zaidi ya Canelo kwasababu Canelo ana miaka 23 na Floyd ana miaka 36. Lakini kwasababu wote wapo kwenye uzito mmoja, pambano hili kubwa liliandaliwa kwenye hoteli ya MGM Grande huko Vegas.
Pambano lilienda hadi round ya 12 ambapo majaji wa shindano walimpa ushindi wa points Mayweather na kuwa WBC and WBA light-middleweight championi, baada ya ushindi huu Floyd anategmea account yake kuingiza  dola millioni 41.5. Scorecards zilionyesha points kama hivi 114-114, 116-112, 117-111 na kumpa ushindi Floyd na kwa mara ya kwanza Canelo kupigwa tangu aanze kucheza masumbwi ya kulipwa.
Floyd Mayweather Jr., Canelo Alvarez

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads