YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 29 Agosti 2013

UPDATES: WIZI WA MAMILIONI KARIAKOO , POLISI WATANGAZA DAU LA MIL 100

Kufuatia tukio la wizi lililotokea leo
katika benki ya Habib African iliyopo
Kariakoo jijini Dar es Salaam na kuibiwa
zaidi ya shilingi milioni 900 za Tanzania ,
Jeshi la Polisi limetangaza dau la shilingi
milioni moja kwa mtu yeyote
atakayefanikisha kukamatwa kwa
majambazi yaliyofanya hicho kitendo .
Majambazi hayo yaliyokuwa yamevaa
sare za Jeshi la Polisi yalivamia benki
hiyo na kupora Dola za Kimarekani
181,885 sawa na shilingi milioni 293.9
za Tanzania . Pia yalipora jumla ya
shilingi milioni 700 za Tanzania na
kufanya jumla ya fedha zilizoibiwa kuwa
shilingi milioni 993. 9.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads