YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 29 Agosti 2013

FRANK RIBERY NDIYE MCHEZAJI BORA WA ULAYA 2012 -2013

Franck Ribéry akiwa na tuzo yake .
MCHEZAJI wa Bayern Munich, Franck
Ribéry ameshinda tuzo ya mchezaji bora
wa Ulaya kwa mwaka 2012 - 2013 . Ribéry
amewabwaga wachezaji Cristiano Ronaldo
wa Real Madrid na Lionel Messi wa
Barcelona. Tuzo hiyo imetolewa wakati wa
kupanga makundi ya Ligi ya Mabingwa
Ulaya ( UEFA ) kwa msimu huu. Msimu
uliopita, Ribéry aliiongoza timu yake ya
Bayern Munich kuchomoza na ushindi
katika fainali dhidi ya Borussia Dortmund
kwenye Uwanja wa Wembley uliopo
London, England. Msimu wa 2011 / 14 tuzo
hiyo ilikwenda kwa kiungo wa Barcelona ,
Andrés Iniesta .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads