YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumapili, 11 Agosti 2013

BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI MBAYA BAGAMOYO

Baadhi ya abiria wakitafuta mizigo yao
baada ya basi walilokuwa wakisafiri
nalo la Meridian kupata ajali eneo la
Mbwewe Bagamoyo.
BASI la Meridian linalofanya safari zake
Dar es Salaam na Rombo limepata ajali
mbaya eneo la Mbwewe Bagamoyo
mkoani Pwani likiwa safarini kuelekea
jijini Dar es Salaam likitokea Rombo.
Abiria kadhaa wamepoteza maisha
katika ajali hiyo japo idadi kamili bado
haijafahamika.

Chanzo: Jamii Forum

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads