YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 10 Agosti 2013

ALI KIBA, H BABA, WANAUME FAMILY NA TNG WAFUNIKA SHOO YA PASAKA DAR LIVE

Ali Kiba akiupagawisha umati wa Dar Live kwa wimbo wake wa 'Usiniseme'.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakilishambulia jukwaa la kisasa la Dar…
Ali Kiba akiupagawisha umati wa Dar Live kwa wimbo wake wa 'Usiniseme'.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakilishambulia jukwaa la kisasa la Dar Live.
Mhe Temba na Chegge kama kawa wakiwarusha mashabiki wa Dar Live ambao ndiyo uwanja wao wa nyumbani.
Bi Cheka akifanya yake stejini.
H Baba akifanya vitu vyake stejini.
Rose Ndauka akiwa jukwaani na kundi la TNG.

TNG kazini.
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads