YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 4 Julai 2013

ZIJUE NCHI 25 MASKINI ZAIDI DUNIANI, DRC CONGO(KINSHASA) YASHIKA NAMBA 1, HUKU TANZANIA IKIWA HAIMO KWENYE ORODHA

Kwelii Tanzania tumesongaa mbele na tuna hitajii pongezii kwahili kwaniWatu walikua wameng'ngania takwimu za miaka 20
iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini
Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa
umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi
masikini kutoka katika macho ya watu
wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye
orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii
maana yake imependa sana katika miaka ya
hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya
26! Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea
kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda
juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja
kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake
unakuwa kwa kasi. huku nchi ya Uganda
ikiwa nafasi ya 21, Rwanda 25, Burundi
nafasi ya 3 na Kenya ikishika nafasi ya 30.
Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads