YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 4 Julai 2013

GERALD HANDO ATANGAZA KUTOPIGA WIMBO WA JIKUBALI WA BEN POL KATIKA KIPINDI CHAKE CHA POWER BREAKFAST

Mdakuzi wako leo wakati nasikiliza kipindi cha
Power Breakfast, Gerald hando amesema
amechukizwa na Mwanamuziki Ben Pol kucopy
na Kupaste wimbo wake mpya unaotamba kwa
sasa wa JIKUBALI kutoka kwa Wimbo wa Script
Feat Wiliam Am unaoitwa Hall of
Fame....Gerald Hando aliyasema kuwa hata
piga huo wimbo katika kipindi chake cha
Power Breakfast...Hii ilikuja baada ya
Msikilizaji kuandika Massage akiponda Ben Pol
kukopy na kupaste ambapo Gerald nae
alikandamizia kwa kumsaport...
Je wewe unasemaje kuhusu suala hilo la
Ben Pol Kukopy wimbo wa nje na
kuubadilisha kuwa wa Kiswahili?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads