YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 9 Julai 2013

SOMA KISA KIPYA CHA AMANDA BYNES KWA OBAMA.

Anaitwa Amanda Bynes ni mwigizaji maarufu
HoolyWood. Wiki chache zilizopita alikua
katika vita ya maneno na msanii Rihana
kupitia mtandao wa twitter, sasa vita hiyo
kaihamishia kwa Raisi wa nchi yake Obama
pamoja na mke wake.
Katika tweet aliyoandika jana alisema “ Barack
Obama and Michelle Obama are Ugly ” na mda
mchache tu baada ya kuandika hivyo watu
walianza kumshambulia kwa kumwambia kua
alichofanya si kitu kizuri kabisa. Pia katika
kuonyesha kua watu hawamungi mkono wengi
wa followers wake walimunfollow.
Hii si mara yake ya kwanza kuwaita watu
weusi ugly kwani alishawahi kumuita na Drake
jina hilo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads