YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 8 Julai 2013

Majengo yanayosemekana kuwa na mvuto Zaidi katika Jiji la Dar

Kama Wewe ni mtembeaji katika jiji hili la Dar Es Salaam hakika utakua unayajua Haya maghorofa. Yanapatikana wilaya ya Ilala hasa maeneo ya PoSta.
Haya majengo yamekua yakichangia kulipendezesha jiji letu la Dar Es Salaam kwa kiasi kikubwa,kwa kusemekana kuwa na mvuto mkubwa uwapo karibu nayo.
Haya ni baadhi tuu. Ila Kuna mengi ambayo yapo kama hivi.

Hebu Tazama picha hizi 10(Kumi) za majengo tofauti tofauti PoSta==>>









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads