Mr Bomba enzi za uhai wake
Msanii wa zamani wa Kundi la Kaole Sanaa.
Mr Bomba amefariki dunia katika Hospitali
ya Taifa Muhimbili baada ya kusumbuliwa
kwa muda mrefu na kansa ya uvimbe wa
kwenye ini . Msiba utakuwa Buguruni
Malapa jijini Dar es salaam nyumbani kwa
marehemu alipokuwa akiishi . Mwili
utaagwa siku ya Jumatatu nyumbani kwake
Buguruni na kusafirishwa kijijini kwao
Mpwapwa Dodoma siku hiyo ya Jumatatu
kwa mazishi.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU
MAHALA PEMA PEPONI AMIN
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni