YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 6 Julai 2013

HUYU NDO MWANAMKE TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI, MCHEKI HAPA

Ukizungumzia Mwanamke mwenye upeo
mkubwa na
mwenye maendeleo duniani basi hautakosa
kusikia
Jina ili kwenye Masikio yako......OPRAH
WINFREY..
Oprah ambae amejipatia umaarufu kupitia
kipindi chake
cha televisheni cha Utangazaji
kilichokuwa kinaeenda kwa jina la Oprah
Winfrey Show
na sasa kinaitwa OWN....
Mwanamama huyu alizaliwa Mwaka
1954,January
29 ndani ya nchi ya Marekani jiji la
Mississipi....!!
Mwanamama huyu kwa sasa ndie mwanamke
mwenye
kisu kirefu na kikali zaidi duniani kwa mujibu
wa
mtandao wa FORBES yanii
hapa nikimaanisha ni mwanamama mwenye
hela nyingi
kupita wanawake wote duniani na ndie
mwanamke mwenye ushawishi mkubwa
kwenye maswala ya kijamii....!!
Mwenye utajiri ufikiao Dolla za Kimarekani
423 kwa
mwaka 2012-2013 june....
Bado akiwa amechangia vitu vingi kama
miradi ya maji
kwenye bara la Afrika na sehemu mbalimbali
Afrika na duniani kiujumla......
Kwenye List hiyo Oprah ameweza kukaa
akiongoza kwa
muda wa miaka 6 akiwa mwanamke mwenye
mshiko mrefu
huku anaemfatia kwa nyuma ni Beyonce &
Lady Gaga
ambao amewaacha kwa mbali kabisa.....!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads