YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 15 Juni 2013

UNAMFAHAMU MTOTO GIULIANO STROE ALIYEWEKA RECORD KWENYE KITABU CHA GUNNESSS AKIWA MDOGO MCHEKI HAPA

Giuliano Stroe alizaliwa june 18, 2004 katika
mji wa Florence ulioko Italy ambako anaishi
na wazazi wakeKwa sasa anaishi
Romania.Mwaka 2009 aliweka rekord kwenye
Guinness Book of World Records alifanya vitu
vya kushangaza watu kama kupiga pushup bila
kuweka miguu chini, kubeba vitu vizito. Kama
unataka kumjua zaidi mtoto huyu
bofya hapa
Giuliano Stroe akiwa
anatunisha misuri

Angalia video yake moja ya Giuliano Stroe
hapa chini

http://www.youtube.com/watch?v=mU-bzs1wG3U&feature=youtube_gdata_player

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads