YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumapili, 16 Juni 2013

HATIMAYE KIM KARDASHIAN AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE==>>Habari Kamili haPa<<==

NI siku ya furaha kwa Kanye West! Kim
Kardashian amejifungua mtoto wa kike
Jumamosi asubuhi katika hospitali ya
Cedars-Sinai Medical Center, Los Angeles,
mtandao wa OMG umethibitisha.
Inasemekana Kardashian, 32, alikuwa na
West pembeni mwake wakati wa
kujifungua, kumkaribisha duniani binti
yao mwezi mmoja kabla ya muda
uliotarajiwa. Tarehe halisi ya kujifungua
ilitazamiwa kuwa Julai 11.
"Kim aliugua Ijumaa usiku na hatimaye
kupata mtoto mapema jumamosi," chanzo
cha hospitali kimeileza Us Weekly.
“Inafurahisha, wote wako katika hali
nzuri!"
Kanye West, 36, na Kim - wote wawili
wakiwa ndo mara ya kwanza kuwa
wazazi, wamekuwa wapenzi tangu Aprili
2012.
Desemba 30, 2012, West alitangaza
kwamba mpenzi wake alikuwa na mimba
wakati wa tamasha lake Atlantic City.
"Simamisha muziki na wote mpige kelele
kwa mama kijacho," alisema West
jukwaani akionyesha kidole kwa Kim
ambaye alikuwa mmoja wa  watazamaji.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads