YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumapili, 9 Juni 2013

BINTOU YAWA SCHMILL A .K .A "THE VOICE " BONDIA WA KIKE MWAFRIKA NCHINI UJERUMANI

Bondia Bintou Yawa Schmill a. k .a " The
Voice" katika pozi tofauti .
Unapozungumzia mchezo wa ngumi au
ndondi nchini Ujerumani Jina la Bondia wa
kike Mwafrika BINTOU YAWA SCHMILL
A. K .A " THE VOICE " ndiye anayemudu
uringo "Boxing Ring" na kulipeperusha
bara la Afrika ughaibuni.
Bondia huyo wa kike Bintou Yawa Schmill
mwenye maskani kule Drackenburg nje
kidogo ya mji wa Bremen, amekuwa
kivutio kwa mashabiki wa kimataifa na
tishio kwa wapinzani wake anapokuwapo
ulingoni.
Boxer Bintou Yawa Schmill mzaliwa wa
Togo mwenye makao yake nchini
Ujerumani alianza kucheza ngumi akiwa na
umri mdogo na kushinda mara 14 katika
mashindano 24 na mara 4 K .O , katoka
draw mara 2 uzito wa Water weight 63. 5
Kg, katika ngumi za ridhaa .
Kuanzia mwaka 2007 Boxer Bintou Yawa
Schmill a. k. a "The Voice" aliamua kucheza
ngumi za kulipwa kwa uzito wa Water
weight 64. 0 Kg, mwenye urefu mita 1. 70
amepigana na kushinda professional
Record 4 na Ushindi wa K. O mara 3.
Boxer Bintou Schmill kwa sasa kajiandaa
kupambambana na bondia yeyote yule wa
kike na mahala popote duniani .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads