YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 21 Mei 2013

MWANAMKE ANYOFOLEWA NYETI ZAKE KWA MADAI YA KULALA NA WAUME ZA WATU...

Mwanake  mmoja  nchini Zimbabwe
amekumbwa na balaa la mwaka baada
ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI
( Uke)....
Mwanamke  huyo  alikumbwa na balaa
hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi
wa nne  mwaka huu...
Kwa mujibu wa mtandao wa
Standardmedia, mwanamke huyo alimka
usiku na kuelekea  chooni  kukojoa.Akiwa
chooni, alishangaa kuona mkojo
hautoki.Alipojichungulia,Ikulu ilikuwa
IMEZIBWA..!!!
Taarifa zinadai kwamba, mwanamke
huyo alizimia pale pale.
Kwa mujibu pia wa mtandao wa
Zimbabwean ambao nao umeripoti
kuhusu tukio hilo, mwanamke huyo
anadaiwa kuwa na tabia chafu ya
kutembea  na waume za watu, hali
ambayo ilikuwa ikiwakera wanawake
wenzie...
Mtandao huo umedai  kwamba , katika
siku za hivi karibuni, mwanamke
ajulikanaye kwa jina la Mai alimpa ONYO
kali mgoni huyo baada  ya kugundua
kuwa anatoka kimapenzi na mume
wake na kumtaka aache mara moja...
Baada ya siku chache kupita tangu onyo
hilo litolewe, mwanamke huyo alijikuta
amenyofolewa  nyeti zake....
Source: standardmedia
Shukrani kwa Dj Teddy

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads