YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumapili, 19 Mei 2013

HAYA NDIO MAJIBU YA HALIMA MDEE KUHUSU STORY ZA YEYE AKUJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA, SOMA HAPA

Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya
so so fresh na fetty, Mh Halima Mdee jana
amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu
story zilizosambaa kuwa anashiriki mapenzi ya
jinsia moja.
aah unajua huwezi kuzuia watu kusema, na
mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini,
lakini ukitaka kumjua Halima unaweza
ukamchunguza kirahisi sana, kwa kumuangalia
alipotoka, historia yake na mahusiano yake,
ambayo mengine ni wazi sana watu walikuwa
wanayajua,
watu wanapenda ku speculate pale ambapo
wanaona kitu ambacho hawati kuona, sasa
hilo swala lilishaandikwa sana, nadhani
walioandika baadae wakaja kuomba radhi
kwasababu waligundua wameandika kitu
kisicho sahihi, probably kutokana na sauti
yangu you know, probably kutokana na
tembea yangu, kwasababu mimi nimekulia
kwenye familia ya wanaume watupu umeona
eeh, mimi nimekuwa ni mpambanaji tokea
utotoni, kwasababu nimezungukwa na jeshi la
kibabe, thats who iam, lakini mtu anaetaka
kumjua Halima na ana uhuru tu, hata akitaka
niwatajie list ya watu wangu i can do that,
lakini sidhani kama is their damn business,
cause ma life is personal, na wakitaka
kuchunguza wachunguze kwa mpango wao na
watapata taarifa, kwa uhuru tu, na wanaweza
wakatoa tangazo kwamba jamani watu
waliowahi kuwa na uhusiano na huyu if any
wajitokeze, watajitokeza kama wapo upande
huo, watajitokeza kwasababu sasa hivi si dunia
huru bana ......

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads