VIDEO Queen wa Bongo Fleva , Mimah
Mohammed ‘Baby Candy’ ameibuka na
kueleza namna ambavyo aliugua malaria
kali hadi kudaiwa kuwa amerogwa na
shosti wake , Jacqueline Pentzel.
Mimah Mohammed ‘Baby Candy ’.
Chanzo makini kililiambia Amani kuwa hivi
karibuni nyota huyo alichanganyikiwa
kwani majini huwa yanampanda kichwani
mara kwa mara huku Jack akidaiwa kuwa
ndiyo chanzo cha matatizo hayo .
“Amewehuka kabisa , ukimuona utamuonea
huruma na Jack ndiye anayedaiwa
kumroga,” kilisema chanzo.
Baada ya habari hiyo kuvuja , paparazi
wetu alimtafuta Baby Candy ambaye alikiri
kuumwa pamoja kupata taarifa za uvumi
kwamba Jack anahusika lakini yeye
anamshukuru Mungu kwani ameshatibiwa
hospitalini.
“Mimi na Jack bado tunaongea vizuri,
niliamua kukaa mbali naye kwa sababu ya
maneno mtaani , siwezi kusema alinifanyia
kitu kibaya , nilikuwa nikisumbuliwa na
malaria, nimetibiwa hospitali na sasa
nimepona, ” alisema.
Translate
Alhamisi, 16 Mei 2013
BABY CANDY AELEZA ISHU YA KUWEHUKA
About Young Concious
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni