YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 10 Mei 2013

BAADA YA KUPATA ADHABU YA KIFUNGO CHA NJE, SHEIKH PONDA AANZA UCHOCHEZI TENA!!

Wakizungumza kwenye msikiti wa
mtambani Kinondoni mara baada ya
swala, Sheikh ponda na ustaadh
mukadam wameapa kupambana hadi
dakika ya mwisho.
Mukadam amemsifia Allah kwa kuwapa
adhabu ya ugonjwa,watu kadhaa akiwemo
mkubwa mmoja alie mahututi Afrika
kusini(wanadai eti alihusika
kuwatengenezea mashtaka),na afisa
mwingne wa jeshi kufarik ajalini baada ya
kuwanyanyasa selo!
KAULI ZA SHEIKH PONDA.
Alitamka kuwa :"Nitapambana hadi
mwisho' huku watu wakisema takbir alah
akbar! Amesema Wakristo wanapendelewa
na serikali. Serikali ilisema aliekojolea
kuran ni mtoto,wakati yeye kawakuta
watoto jela akiwemo wa miaka
10,aliyekwapua mkoba.,ila yule mkristo
wa miaka 14 serikali ilisema mtoto na
haikumchukulia hatua zozote!
Pia kasema ana CD zikionyesha jinsi
serikali inavyoua na kupanga
kukandamiza uislamu. Kampongeza sana
Zitto kabwe kwa mchango wake wa
kutetea uislamu bungeni na kamponda
yule aliepeleka cd alizoita za uchochezi
bungeni!
Karudia tuhuma za kuwa NECTA kuna
udini na Waislamu wanafelishwa! Kasema
serikali inapendelea na kuendeshwa na
wakristo. Pia kuhusu bomu la Arusha
kasema, wamekamatwa waarabu ,mbona
hawajakamata wazungu? Anasema huo ni
mpango wa kuonea waarabu na uislamu!
Ponda kasema wakristo hajawahi kuuawa
na serikali,ila waislamu yu ndo
wanauawa! Mwembechai waliuawa,
Pemba waliuawa. Anadai hata Pemba
Waislamu waliuawa na serikali ikitumwa
na Kanisa!
Amehoji,mbona hatujawahi kusikia
mchungaj au padri
kauawa?kasema pemba kuna helcopter
zilikua zinalipua majahazi ya waislamu
(wakiwa baharini) wakati wanakimbilia
Mombasa naTanga.!
Pia kasema,nchi hii hakuna udini,ila kuna
mapambano ya waislamu kudai haki zao
na redio iman imefungiwa kuwaonea
waislamu wasipate pakusemea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads