YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 14 Mei 2013

BREAKING NEWS: WANAFUNZI WA SHULE YA SECONDARI MANZESE ZAIDI YA 30 MUDA HUU WANAANGUKA HOVYO HOVYO

Wanafunzi wa shule ya secondari manzese
zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo
hovyo na kusema a mane no
yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa
kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni
hapo huku wakijibamiza kwenye miti:
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya
Sekondari Manzese aliyeanguka na
kuweweseka.Mpaka sasa haijafahamika
chanzo cha wanafunzi wa shule hiyo
kukimbia ovyo,kuanguka na kuweweseka.
Picha:Zainab Chondo wa ITV

Maoni 1 :

Propellerads