Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe
lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000 na
unaweza kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne.
Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria
starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000
Treni ya Shiki-shima ilifanya safari yake ya kwanza
tarehe mosi Mei. Ilijengwa kulingana na mipango na michoro ya Ken
Kiyoyuki Okuyama
Treni ya Shiki-shima ilifanya safari yake ya kwanza tarehe mosi Mei
Mandhari ya treni hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifuhia glasi ya mvinyo
Mandhari ya treni hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifuhia glasi ya mvinyo
Treni hii ina nafasi kwa abiria 34 kwa hivyo ina nafasi ya kutosha abiria kuweza kuona vizuri
Treni hii ina nafasi kwa abiria 34 kwa hivyo ina nafasi ya kutosha abiria kuweza kuona vizuri
Hapa ndipo inaweza kulala baada ya safari ndefu
Hapa ndipo inaweza kulala baada ya safari ndefu
Mipango ya treni hiyo ilitangazwa na kampuni ya East Japan Railway Company mwaka 2014.
Mipango ya treni hiyo ilitangazwa na kampuni ya East Japan Railway Company mwaka 2014.
Chakula kitakuwa kikibakuliwa sehemu kama hii
Chakula kitakuwa kikibakuliwa sehemu kama hii
Kila kitu kitakuwa sawa na cha hoteli yoyote ya kifahari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni