YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 11 Desemba 2014

Rapper wa Marekani aliethibitisha yuko njiani kwenda Kenya saa kadhaa zilizopita.



2 chain 32Ni wiki zimepita toka Tanzania imshuhudie rapper T.I kutoka Marekani ambae alifanya show ya Fiesta mbele ya maelfu ya watu kwenye viwanja vya Leaders Dar es salaam, show ambayo baadae aliporudi Marekani alihojiwa na vyombo vya habari na kusema hajawahi kufanya show mbele ya watu wengi kama vile maishani mwake.
Tukiachana na hiyo, Kenya wamepata ugeni pia ambapo rapper 2 Chainz amethibitisha kwenda kwenye nchi hiyo kupiga show ya Jameson Party Nairobi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads