YoungConcious™

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 6 Novemba 2014

Hawa ndio mastaa wengine wanaotarajia kupata mtoto…


Couple Holding HandsIdadi ya mastaa wanaoingia kwenye listi ya mastaa wenye watoto inazidi kuongezeka, kitu kinachovutia zaidi ni kwamba watoto wao pia huwa wanakuwa maarufu hata kabla ya umri wa kujitambua; kwa mfano ukitaja jina la Blue Ivy Carter wengi wetu tunajua ni mtoto wa mastaa gani.
Staa wa R&B aliyeweka rekodi ya kudumu kwenye muziki kwa muda mrefu bila kuanguka wala kubadili aina ya muziki anayoifanya, Justin Timberlake na mpenzi wake Jessica Biel wanatarajia kupata mtoto soon…
JT & Spo
Ndoa yao ina miaka miwili na stori kuhusu Jessica ni ujauzito alionao wa zaidi ya miezi 3.
Mastaa hawa hawajakaa kwenye ‘headlines’ nyingi huenda ‘wazee wa udaku’ wanahofu kutokana na kitendo walichokifanya mwezi uliopita kulishtaki jarida la Heat kwa kuandika stori iliyowachefua.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads