YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 30 Oktoba 2014

Dakika zako 4 unaweza kuzitumia kwenye hii video mpya ya M2theP, hebu icheki hapa



m4Mikono mingine ya Director mwingine kutoka kwenye kiwanda cha video za bongofleva ndio imehusika kuisuka hii video mpya ya ‘siabonga nkosi’ ya M2TheP ft. Watoto wa Mandela.
Ni single nyingine tena kutoka kwa M2TheP ambae kila jina lake linapotajwa wengi wanamkumbuka Marehemu Ngwea ambae alikua rafiki yake mkubwa na mpaka anafariki Afrika Kusini, walikua pamoja ambapo ukicheki hii video hapa chini ambayo imefanywa nchini Tanzania utaona pia na Tatoo kifuani mwa M2TheP ikiwa na picha ya Ngwea.

Source: MillardAyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads