YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 8 Aprili 2014

Bieber azawadiwa gari aina ya Bugati na Birdman. icheki hapa

Birdman amzawadiwa Justin Bieber gari aina ya Buggati.

ffffffffffffffff
Birdman bosi wa YMCMB amempa smile msanii mdogo mwenye umri wa miaka 20 kwa kumpa zawadi ya gari lenye thamani ya dola za kimarekani  milioni 1.9 aina ya Bugatti Veyron 16.4.
Justin Bieber hakusita ku-share furaha yake baada ya ku-post picha ya gari hilo jekundu kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika,”Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity”
2
1


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads