Baada ya Facebook kuinunua Whatsapp – hili ndio zuri jipya kuhusu application hiyo
Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika.Baada ya Facebook kununua mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za kupiga simu baadaye mwaka huu.
Kwa taarifa zaidi tazama video hii hapa chini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni