YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 31 Machi 2014

Cheki hapa mauzo ya wimbo wa 2030 wa Roma Mkatoliki kupitia Whatsapp.

Haya ndiyo mauzo ya wimbo wa 2030 wa Roma Mkatoliki kupitia Whatsapp.

whatsapp_APInawezekana kama mitandao ya kijamii ukiitumia vizuri inaweza kukupatia faida kubwa kuna watu kadhaa ambao kupitia mitandao ya kijamii wanendesha maisha yao vizuri miongoni mwao kuna jamaa mmoja anajiita dalali Mkombozi  aliwahi ku-amplify anavyoitumia Instagram kuendesha maisha yake.
ROMARoma Mkatoliki leo ametoa idadi ya pesa alizowahi kuingiza kupitia wimbo wake wa 2030 ambao alianza kwa kuuza kupitia mtandao wa Whatsapp >>’2030 nilikua nauza kwa shilingi 3,000 kuna artist wanatoa album au mixtape ina nyimbo 20 anauza 5,000 ambao unakuta wanaongea huyo Roma ni nani anatoa wimbo anauza 3,000′
‘Badala ya kusaidiwa na wasanii wenzangu ndiyo wananikandia mi Tanga nina ofisi yangu na napokea album kibao nawauzia tu wana,unakuta watu wanaongea mbona wimbo wenyewe taarifa ya habari halafu anauza 3,000,kwa haraka haraka niliuza kama 1,400,000 kwa kipindi kile cha mwanzo’.

Source : MillardAyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads