Fahamu siri ya uhusiano ya Ozil na kipa Manuel Neuer
Mesut Ozil na Manuel Neuer wamekuwa wakicheza pamoja katika timu ya taifa ya Ujerumani kwa muda mrefu, pia walicheza pamoja katika timu ya umri chini ya miaka 21.
Pia leo hii imegundulika kwamba urafiki wa Mesut Ozil na Neur ulianza tangu walipokuwa wakisoma shule utotoni kama inavyoonesha hii picha hapo chini.
Wote Mesut Ozil na Manuel Neuer walisoma shule ya Gesamtschule Berger Feld ambayo ipo karibu na uwanja wa klabu ya Schalke Veltins Arena.
Ni moja ya shule za secondary kubwa kabisa nchini na mara nyingi amekuwa akisomesha wachezaji ambao mbeleni huchezea klabu ya Schalke. Ozil na Neuer wote walicheza pamoja pia katika klabu ya Schalke.
Credits by: MillardAyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni