YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 12 Oktoba 2013

Diss Nyingine Ya 50 Cent Kutoka Kwa Rapper Game.



The Game


Diss nyingine kutoka kwa rapper The Game kwa 50 Cent na this time inahusu kurudi G Unit. Rapper Game amelianzisha tena na hasimu mwenzake 50 Cent kwa kumtaja yeye na kundi lake la G Unit kwenye wimbo wa 'Hollywood' Ambao upo kwenye mixtape yake mpya ya "OKE". Joint hii Imetoka October 11 na kashirikishwa rapper Scarface.
Kwenye wimbo Game anasema “Hub City thugs wit me, buck 50,” “Reunite with G-Unit, bitch fuck 50”



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads