YoungConcious™

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 5 Oktoba 2013

Davido aonyesha picha za nyumba yake yenye thamani zaidi ya Tsh bilioni moja.


Davido aonyesha picha za nyumba yake yenye thamani zaidi ya Tsh bilioni moja.

2Msanii wa Nigeria “Davido” ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa busy kwa kufanya show tofauti huko U.K, leo ame-share vipande tofauti vya picha za nyumba yake ambayo inakadiriwa kuwa na thamani zaidi ya Tsh billioni moja. Nchini Nigeria Davido yupo kwenye level za juu sana licha ya kuwa ni msanii ambaye hana miaka mingi kwenye game ya music
4

1
Hii picha walipiga na Etoo huko London wakionyesha Rolex zao

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads