YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Alhamisi, 12 Septemba 2013

Fellaini akizipitisha nywele zake mbele ya kinyozi.



article-2417629-1BC25BDA000005DC-469_634x558
Moja ya vivutio vilivyoko kwenye ligi kuu ya Engand zaidi ya soka lilojaa ushindani na vipaji vya watu kama Eden Hazzard , Luis Suarez na wengineo wengi ni nywele za mchezaji mwenye asili ya bara la Afrika Marouanne Fellaini.
Mchezaji huyu mwenye mizizi ya asilia kwenye nchi ya Afrika magharibi ya Morocco akiwa na uraia wa Ubelgiji ana nywele ndefu ambazo huwa anaziachia kwa style ya Afro na nywele hizo zimekuwa utambulisho wake mkubwa .
article-2417629-1BC25EF2000005DC-886_634x662
Tangu alipoingia nchini England akitokea Standard Liege ya Ubelgiji Fellaini hajawahi kuzinyoa nywele hizo zaidi ya kuzipunguza kidogo juu juu na ni vigumu kutambua akifanya hivyo kwa kuwa siku zote huwa zinaonekana ziko vile vile .
Mchana wa leo (jumatano) Fellaini alipigwa picha na mapaparazi wa England akiwa anakatiza mbele ya Saloon na kwa hali ya kawaida wafanyakazi wa Barber Shop alikopita watakuwa walitamani sana kupitisha mashine zao kwenye kichwa cha kiungo huyu mpya wa Manchester United ambaye kwa vyovyote mshahara anaolipwa haujawahi kuwa sehemu ya kipato cha hawa jamaa ambao ujira wao hutokana na kunyoa watu nywele kitu ambacho Fellaini hataki kukisikia.
felaini
article-2417629-1BC25F0A000005DC-577_634x746

article-2417629-1BC24A84000005DC-890_634x398
article-2417629-1BBB964A000005DC-916_634x422
Mchezaji huyu ambaye alinunuliwa na Manchester United kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 27.5 huenda akaichezea United kwa mara ya kwanza jumamosi hii wakati mabingwa hao wa England watakapokuwa wenyeji wa vijana waliopanda daraja Crystal Palace kwenye mechi ya ligi kuu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads