YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 13 Septemba 2013

Baada ya Mwana F.A kupewa tuhuma za ahadi feki kwa Mama Mangwea, hatimaye Mama huyo aibuka kumtetea.


Baada ya Mwana F.A kupewa tuhuma za ahadi feki kwa Mama Mangwea, hatimaye Mama huyo aibuka kumtetea.


fa

Kutokana na tuhuma ambazo watu wengi walimpa Mwana F.A kwamba alitoa ahadi hewa kwenda kwa Mama Mangwea. Kwenye show ya The Finest, Mwana F.A aliahidi kutoa asilimia 15 za faida ya onyesho hilo. Akiongea na Mwananchi alisema,“Nakiri kukosea jambo moja, nilipoahidi niliongea na wanahabari lakini wakati wa kutoa nilitoa bila kutangaza.Hii kutoa jamani ni moyo, haina haja kumtangaza mtu kwa kuwa umemsaidia au umempa pole”.
Upande wa pili Mama Mangwea alipoulizwa alisema,“Kabla hata ya arobaini, aliweka benki kisha akaja na mwenyewe, hakuna na waandishi kama wanavyofanya wenzake. Alikuja mwenyewe tukaongea na mara kwa mara tunawasiliana, wanataka kumtia doa kijana wa watu ni muungwana sana”.
Source : Millardayo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads