YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 26 Agosti 2013

Hivi ndiyo show ya Fiesta Singida na semina ya Fiesta fursa ilivyokuwa


8Serengeti Fiesta iliwakutanisha wakazi wa Singida jumapili hii kwenye show kubwa ambayo kama kawaida ya Fiesta ilikuwa na list ndefu ya wasanii. Kabla ya kila show ya Fiesta mwaka huu, kunakuwa na semina ya fursa. Singida nao walipata nafasi ya kushiriki kwenye semina hii. Vyote hivi viko hapa.
photoUmati wa wananchi wa Singida
1
2
3
4Linah na Amini wakiitumia stage vizuri
5
6Anaitwa Abdu Kiba
8Style za kutosha kwenye Serengeti Fiesta
IMG_2273
IMG_2289
IMG_8939Peter Msechu
1Baadhi ya wanancgi waliofika kwenye semina ya Fursa
2
3
4
5
6
7Mtu wako wa nguvu nilipata nafasi ya kuongea na wananchi kuhusu mambo ya fursa
8
9Baba Levo alikuwa mmoja kati ya wazungumzaji kwenye semina ya fursa
11
12
14Mr Ruge Mutahaba akitoa maneno ya busara kwa wananchi wa Singida kwenye semina ya Fursa
15Mwakilishi wa NSSF akiongea kwenye semina ya Fursa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads