YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumamosi, 10 Agosti 2013

Balotelli haishiwi vituko.===>>Hebu Cheki Hapa

image
Mshambuliaji wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italia Mario Balotelli hajawahi kuishiwa vituko hata siku moja na muda wote amekuwa akitengeneza headlines kwa matukio yake ambayo yanakuwa ya kipekee.
Hapo jana mshambuliaji huyo alitumia ukurasa wake wa mtandao wa twitter kuuonyesha ulimwengu mnyama wake mpya ambaye anamfuga .
Mnyama huyu ni nguruwe mdogo wa kike mwenye umri wa miezi miwili na Balotelli mwenyewe anamuita Super.
Nguruwe anayeitwa Super ambaye anafugwa na Mario Balotelli.
Nguruwe anayeitwa Super ambaye anafugwa na Mario Balotelli.
Kali hapa ni jinsi ambavyo Mario ameamua kufuga nguruwe wakati wenzie mara nyingi hufuga wanyama kama Mbwa,Paka au ndege aina ya kasuku yeye ameamua kufuga Nguruwe.
Tweet ya kwanza kwenye ukurasa wa twitter wa Balotelli akimtambulisha nguruwe wake.
Tweet ya kwanza kwenye ukurasa wa twitter wa Balotelli akimtambulisha nguruwe wake.

Tweet ya pili ambapo Balotelli alikuwa anamzungumzia nguruwe huyo na jinsi yake.
Tweet ya pili ambapo Balotelli alikuwa anamzungumzia nguruwe huyo na jinsi yake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads