YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Ijumaa, 26 Julai 2013

BREAKING NEWS: AUAWA KWA RISASI TEGETA

Wananchi wakibeba mwili wa
marehemu baada ya kuuawa kwa
kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Mwanaume mmoja ambaye
hakujulikana jina lake mara moja, muda
mfupi uliopita ameuawa kwa kupigwa
risasi na watu wasiojulikana eneo la
Tegeta jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu
wa mashuhuda wa tukio hilo , wauaji ni
wanaume wawili waliokuwa katika
pikipiki maarufu kama 'Bodaboda ' .
Marehemu alikuwa akishuka katika gari
lake aina ya Toyota Mark II yenye
namba za usajili T 508 ADY ndipo
alipopigwa risasi kadhaa . KWA HABARI
ZAIDI NA PICHA ZA TUKIO HILI,
TEMBELEA MTANDAO HUU NA SOMA
MAGAZETI YA GPL
Source:GlobalPublishers

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads