YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumatatu, 27 Mei 2013

HUYU NDO DEMU ALIYEMTUKANA RIHANA TWITTER KUA ANA SURA MBAYA, CHEKI TWEET ZAO HAPA.

Amanda Bynes amshambulia Rihanna kupitia
ukurasa wake wa twitter na kusema kuwa
Chris Brown alimpiga kwasababu ni
mbaya..hakijajulikana ni kitu gani
kilichomfanya awe na hasira na Rihanna
Amanda alitweet na kufuta haraka "@rihanna
Chris Brown beat you because you're not
pretty enough." na baada ya kuandika hicho
aliendelea kwa kuandika maneno ya kashfa
kuhusu kutaka kumuita mbwa wake Rihanna
baada ya tweets hizo Rihanna alimjibu kwa
kuandika " Ya see what happens when they
cancel intervention?"
Amanda amemjibu Riri na akafuta
"@rihanna unlike ur fugly faced self I don't do
drugs! U need the intervention dog! I met ur
ugly face in person! U aren't pretty u know
it!"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads