Taarifa za awali zinadai kwamba
Mfanyabiashara Said Mohamed Saad
ambaye ni Mmiliki wa Home Shopping
Centre (Dar), amwagiwa tindikali saa
mbili ya usiku huu maeneo ya Msasani
City Mall ....
Taarifa hizo zinadai kwamba
mtuhumiwa aliyefanya kitendo hicho
alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini
bahati mbaya akateleza na kuanguka na
jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo
la tukio
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni