YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumapili, 16 Julai 2017

BRAZIL:Mwanasiasa atupiwa mayai wakati akifunga ndoa

Maria Victoria Barros
Maria Victoria Barros, 25, ni mbunge huko Panara
Mwanasiasa mmoja nchini Brazil amewakashifu waandamanaji wa mrengo wa kushoto kwa kuwadhulumu wageni wakati wa harusi yake kufuati familia yake kumuunga mkono Rias Michel Temer.
Maria Victoria Barros, 25, ni mbunge huko Panara na bintiye waziri wa afya nchini Brazil
Mamia ya waandamanaji walikusanyika nje ya kanisa ambapo sherehe zilikuwa zikifanyika siku ya Ijumaa jioni.
Waandamanaji hao walirusha mayai na mwanasiasa hiyo akalamizimika kuondoka akitumia gari lisilopenya risasi
Sherehe hiyo ilihuduriwa na wanasiasa wa nchi hiyo, akiwemo babake Ricardo Barros na mamake Cida Barghetti naibu gavana wa Parana.
Takriban wabunge 30 wa nchi hiyo waliakikwa kusafiri kutoka mji mkuu Brasilia kuhudhuria harusi kwenye mji mkuu wa jimbo la Parana Curitiba.
Picha katika mtandao wa You Tube zinaonyesha walinzi walifungua miavuli kuwakinga binti na bwana harusi walipokuwa wakiondoka kanisani.
Brazilian Minister of Health, Ricardo Barros (R) and Brazilian Minister of Social and Agrarian Development Osmar Terra pose for a picture during a visit to Dr. Zilda Arns Hospital, on the outskirts of Port-au-Prince, Haiti, June 23, 2017
Babake Maria Victoria Ricardo Barros (kulia), amekuwa katika baraza la mawaziri la Temer tangu Mei 2016

SOURCE: BBCSwahili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads