YoungConciousâ„¢

Be Updated on the World of Sports, latest News and Entertainment Stories.

Propellerads

Breaking News

Translate

Welcome to Young concious .blogspot.com ==>>Feel free to leave your comment

Jumanne, 28 Mei 2013

NAMBA YA FREEMASON YAZUA HOFU!habari kamili soma hapa:

HOFU imezuka nchini baada ya namba ya
simu inayotajwa kuwa ni ya jamii ya watu
wasiomwamini Mungu, Freemason kuhusishwa
na umwagaji damu na kafara kutumika
kuwapigia watu mbalimbali, Uwazi lina taarifa
hii kwa ukamilifu.
Taarifa ambazo Uwazi limezipata, zinaeleza
kwamba namba hiyo ni ya Freemason na
kwamba, mpigiwaji akijaribu kupokea na
kuzungumza, atakuwa ameunganishwa kwenye
kafara hiyo.
Baada ya namba hiyo ya kutatanisha kuzuka
na kuwapigia watu mbalimbali, inaelezwa
kwamba iligundulika kuwa ni ya jamii hiyo na
hivyo kusambazwa meseji ya kuwaonya watu
wasipokee simu hiyo. NI NAMBA GANI?
Namba hiyo ni 0800226655 ambayo Uwazi
limejiridhisha kuwa si namba ya mtandao
wowote wa simu nchini wala nje ya mipaka ya
Tanzania, maana hakuna namba kama hiyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Propellerads